Chuo kitafunguliwa tarehe 03/08/2020 siku ya jumatatu
wanachuo wote waliohitimu basic technician certificate NTA 4, na kuendelea technician certificate NTA 5 hawataripa gharama za form kwa ajili ya usajili wa hapa chuoni, Watatakiwa kufika ofisi ya admission hukuwishiwa taarifa zao kwa ajili ya kuendelea akiwa na bunda 1 la karatasi (rim paper1) tu. Hii ni kwa wanachuo wote wanaingia hatua (level) nyingine baada ya kumaliza hatua 1 (level) na kuingia nyingine, yaani Basic Technician Certificate NTA LEVEL 4, Technician Certificate NTA LEVEL 5, & Ordinary Diploma NTA LEVEL 6.
Masomo yataanza tarehe 03/08/2020, muda wa kuripoti na tarehe ya mwisho baada ya kufungua chuo ni siku ya jumatano tarehe 12/08/2020
MITIHANI MAARUMU NA YA MARUDIO (SPECIAL AND SUPPLIMENTARY)
Mitihani maarum na ya marudio (special and supplementary) itaanza tarehe
10-14/08/2020. Wanachuo wote watakao husika kufanya mitihani maarumu na ya marudio (special and supplementary) mtatakiwa kukamilisha taratibu zote kabla ya wiki/tarehe ya mitihani kuanza.
MUHIMU
Mwanachuo kumbuka kulipa ada kwa wakati tena kwa utaratibu stahihiki ili kuepuka usumbufu
Baada ya tarehe ya mwisho ya kuripoti yaani 12/08/2020, hatutampokea mwanachuo yeyote atakaekuwa amechelewa.
ANGALIZO:
Mwanachuo wa kutwa (day) hatutopokea ombi /maombi yanayohusu upungufu au ukosefu wa ada kwa wakati au kwa namna yoyote ile kwa kuongezewa muda au kulipa malipo tofauti na kiwango elekezi.
Mwanachuo, adhabu kali itatolewa kwa yeyote asieyetii maagizo husuni kwa wale wote ambao hawafanyi mitihani kwa muda elekezi.
Imetolewa na mkurugenzi wa mafunzo